Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa,
akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara , Rajabu Ruhavi (kushoto) fomu
ya kugombea urais Mjini Dodoma jana.
Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwa katika picha ya pamoj na
Wenyeviti wa Mikoa wa CCM baada ya kurejesha fomu za kugombea urais
Mjini Dodoma jana.
No comments:
Post a Comment