Friday, 31 July 2015

MGOMBEA UBUNGE ARUSHA ,MUSTAFA PANJU 30-07-2015

SAM_4682
 Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akiwaonyesha kadi ya CCM inayoonyesha imani ya mwanachamana kwa wanahabari pamoja na wadau mbalimbali jijini Arusha, pia alizungumzia kuhusu mchakato wa ndani ya chama kumpata mgombea wa Ubunge wa jimbo la Arusha kupitia CCM siku moja baada ya kumalizika kwa mchakato wa kuzunguka katika kata 25 za kuomba kura kwa wananchama wa chama hicho,aliwataka wananchi kumchagua mwanachama watakaoonyeshwa na Mungu na siyo kwa kushawishiwa kwa pesa,pia alionyesha furaha yake kwa kuweza  kupandikiza mbegu bora ya Upendo,Amani na Mshikamano kwa wagombea wenzake pamoja 
SAM_4659 
Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali jijini Arusha ,ambapo aliwashukuru wagombea wenzake 12 wanaowania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Arusha kwa kumaliza mchakato wa kuzunguka katika kata 25 jimbo la Arusha kwa Amani,Upendo na mshikamano na pia alionyesha furaha yake kwa kupandikiza mbegu bora ya Upendo,Amani na Mshikamano
SAM_4665 
 
Sehemu ya wadau wakifatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM 
SAM_4666 
 Wadau wakifatilia hotuba kwa umakini
 SAM_4692 
Mwenyekiti wa kamati ya Ushindi Godfrey Mhando akizungumza ambapo alisema kuwa kila mtu anahaki ya kumchagua kiongozi anayeona anafaa na siyo kurubuniwa kwa fedha
SAM_4691 
Kassim Mamboleo  katibu wa kamati ya ushindi akizungumza na wanahabari pamoja na wadau ambapo alitoa rai kwa Watanzania kuwa makini katika mchakato huu kuelekea uchaguzi mkuu



SAM_4676
Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akisisitiza wananchi kwa ujumla kuwa na Upendo,Amani na Mshikamano na kusisitiza kuwa atamuunga mkono mgombea yeyote atakayepitishwa na chama cha mapinduzi,kulia nia Kassim Mamboleo  katibu wa kamati ya Ushindi
SAM_4686 
  Mchambuzi wa kisiasa na Mwanahabari mkongwe hapa Nchini Abrahamu Gwandu akizungumza katika mkutano huo alisisitiza wananchi kuwa na Umoja,Upendo na kuchagua kiongozi bora kuelekea uchaguzi mkuu ili kuepusha uvunjifu wa Amani
SAM_4680 
Mwanahabari Mwandamizi Shaban Mdoe akifatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM
SAM_4660  
SAM_4690 

No comments: