Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na wanachama wa chama hicho katika kata ya Themi viwanja vya Trans Foma jijini Arusha katika mkutano wa wagombea 12 wa chama cha mapinduzi ,kuomba kura katika kata 25 ambapo katika kura ya maoni atapatikana mmoja wa kupeperusha bendera ya CCM Arusha mjini
wagombea 12 wa CCM akisikiliza kwa makini wakati Mkurugenzi
wa Bushback Safaris Mustafa Panju akimwaga sera zake kwa wananchi wa kata ya
Themi viwanja vya Trans Foma jijini ArushaWananchi na wananchama
waliojitokeza kuwasikiliza wagombea
No comments:
Post a Comment