Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh.
Edward Lowassa akipunga mkono kwa umati wa watu wakazi wa Mji wa Dumila,
Mkoani Morogoro, waliomsimamisha ili awasalimie wakati alipokuwa
safarini kuelekea Mkoano Dodoma, leo Juni 30, 2015. Mh. Lowassa
anatarajia kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kuwania Urais wa
Tanzania, kesho Julai 1, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwasalimia...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwasalimia...
No comments:
Post a Comment