Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto
Kabwe, akiwahutubi wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama
hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake.
Mwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT
Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana,
ambapo chama hicho kinaendelea na ziara ya kutambulisha viongozi wake.
No comments:
Post a Comment