Mustafa Panju kuingia katika mbio za ubunge Arusha mjini
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo
jijini Arusha, Mustafa Panju akiongea na vyombo mbalimbali vya habari ofisini
kwake akitangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM.
No comments:
Post a Comment