Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa apata mapokezi mazito yaliyovunja rekodi
ya mikoa yote aliyotembelea akiwa katika ziara ya kutafuta wadhamini ka
ajili ya kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM.
Licha ya kupata mapokezi makubwa, Lowassa aliyetua katika uwanja wa
Songwe jijini Mbeya hapo jana na kulazimika kusimama katika miji ya
Mbalizi na Soko Matola amepata wadhamini zaidi ya 53,000.
No comments:
Post a Comment